FRESH AND NEW:Gib Carter – Basi Paa.MP3

Basi Paa Artwork

FRESH AND NEW:Gib Carter – Basi Paa.MP3

“Basi Paa” is a letting go song,a true sad story,We all know that feeling when a person who was deeply in love with someone but never get the love back,disrespected and totally taken for granted.This song is about a heart broken young man  trying to express how hard it became at a particular point and have to let it all go.And with that Swahili phrase “Basi Paa”meaning”Just Fly and Go” i bet you will Enjoy Basi Paa.mp3 by this talented Tanzanian artist-Gib Carter below and relax your mind with the instrumental as well. cheers!!!

ALSO SEE : Harmonize ft. Lydia Jazmine – Bedroom (Remix)

 

DOWNLOAD MP3

KUHUSU WIMBO:

“Basi Paa” ni wimbo unaoelezea hali ya kukata tama katika mapenzi baada ya kumpenda mtu kwa moyo wote na mwisho kutopendwa na kudhalauliwa .Mwishowe Gib Carter anaelezea hisia na maumivu makali ya Moyo ambayo mtu huyo anapitia mpaka anakata tama ya mapenzi na kusema “Basi Paa”, nenda zako tu name nitavumilia maumivu haya. Furahia wimbo huu.


DOWNLOAD INSTRUMENTAL
ALSO SEE patapaa-corona virus mp3 download
GIB CARTER – BASI PAA LYRICS

The Story Of A Bad Boy

[ Intro ]

WaGa Boy

Ye Blackculture

[ Verse 1 ]

Nimepapasa papasa papasa

Ghafla nkaiwasha taa

Nikitumaini haitozima

Nafanya kazi nkisaka nkapata

Oh! My Love

Just for you mama

Macho kodo usiku mzima

Kumbe unaniona kolo

Kolo

Wautesa mtima vanje

Natamani nbaki solo

Solo

Ni hivi vema uniache

[ Bridge ]

Basi paa ah

Hiki kilimo hakina faida

Basi paa wee

Why do you hurt me oh!

Oh! Oh!

[Chorus]

Huh huh huh(x8)

[ Mwewe ]

[Verse 2]

Unayoyatenda sijakuona

Na ukaona ni sawa?

Nimekutibu umepona ndo ukaota mabawa?

Umekwamisha,

me hisia hazisomi [Are you Happy now?]

Ni kipi chanzo najiuliza sioni [Are you Happy now?]

Mhhhh

Ujumbe wako uloutuma

Kwa mama Jeni,

Nimeupata sawa

Oh I did it for you

Leo umeota mabawa – Fly!!!!

[Chorus]

Huh huh huh(x8)

[ Mwewe ]Wa Wa Wanted

Leave a Reply